Wednesday, December 1, 2010

kudumisha tunu msingi za maisha ya kifamilia

Baada ya kiamsha kinywa, wadau ni kwamba lazima tushike kamba tupande, tukabili changamoto za maisha. Sijajaliwa kupata familia, lakini experience ambayo nimepata kupitia utanganzaji na kudusuru vitabu na tovuti mbalimbali, nimekwisha kupata ufahamu kuwa familia ni kitovu cha amani na upendo. Na understand kwamba wengi wetu barani afrika tunazingatia saaana swala la udini katika familia zetu, lakini issue ni kwamba tunasahu kutumia the latter kuhubiri amani. kuelewa vizuri, nilitaka kupata usaidizi kutoka kwa Askofu mkuu Josè De Queioros Alves wa Jimbo kuu la Huambo, kutoka Angola....tovuti ya radiovatican ni muhimu kwa mufindisho ya leo. bonyeza http://www.radiovaticana.org/en3/Articolo.asp?c=436241 upate ufahamu hata zaidi. siku kuu mdau :-(

No comments:

Post a Comment