Tuesday, November 30, 2010
.........WORLD AIDS DAY
Wadau hii ni siku muhimu kwani mataifa yanalenga kutoa uhamasisho kuhusu athari za ugonjwa wa ukimwi ambao umeathiri familia nyingi hususan katika bara Afrika, ambako watu elfu sita hufariki kila siku kutokana na virusi vya HIV ukimwi. Hapa kenya, tunaadhimisha miaka 26 tangu kisa cha kwanza cha AIDS kuripotiwa nchini miaka ya themanini. Na katika uchungunzi wangu, niliona makala haya kutoka shirika la BBC yatafaa zaidi kwako mdau..kuelewa vyema kuhusu ugonjwa wa ukimwi na jinsi ya kujikinga. http://www.bbc.co.uk/swahili/kwa_kina/kimasomaso/2010/04/100427_kimasomaso_ukimwi_africa.shtml Nakutakia siku kubwa wakati tukiadhimisha siku ya ukimwi ulimwenguni. Tukapime tujue hali zetu kiafya na kujipanga. PAMOJA TUANGAMIZE UKIMWI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment