Thursday, December 2, 2010

Kenya SOKA hatuwezi...afadhali mbio :

Vijana wa hapa nyumbani Harambee stars wamezima matumaini ya kunyakua taji la kombe la CECAFA baada ya kulambishwa mabao 2 kwa 1 na Ethiopia. Hii sio mara kwanza vijana wa kocha Jacob "Ghost" Mulee kuiwekea kenya aibu, lakini kama navyotafakarin tutaipa sifa sana kikosi hicho kwa mchezo wao wa kuridhisha hasa dakika za lala salama. Its time tutizame sasa mechi ya Uganda ili tutokee kama the BEST LOOSERS, Changamoto kubwa hata hivyo ni kwa wasimamizi wa soka..do something esp. kwa hino timu yetu...Mulee na timu yako ya kiufundi, jambo lifanywe bana..i need the old football mood back :-( ni wazo tu mdau usininukuu vibaya!!!

No comments:

Post a Comment