Olympic marathon champion Samwel Wanjiru has been charged with threatening to kill his wife, Tereza Njeri, using an illegal firearm. The two-time Boston marathon winner was also charged with threatening to kill their househelp, Nancy Njoki, and wounding a security guard, William Masinde. Mr Wanjiru denied the charges in a Nyahururu court and was released on a bond of Sh300,000 with a similar surety. for more info bonyeza hapa
Thursday, December 30, 2010
Tuesday, December 14, 2010
Men may be able to make babies without women....
Now men may be able to make babies without women, through a technology that could for the first time allow same sex couples to have their own genetic children.
In a technology developed to help in preserving endangered species and improving livestock breeds, scientists have, for the first time, developed an offspring from two males.
In a way, this renders null and void, the arguments by anti-gay activists that only opposite sexes lead to procreation. But not all will be lost to potential mothers as a female will be required to carry the pregnancy to term.
Using cell technology, scientists in the US say it is also possible to develop an offspring from one male, though this will need some time to refine.
For more info click Here
For more info click Here
Saturday, December 11, 2010
Jamhuri Day....miaka 47 sasa
Wakenya hapo Kesho tunaadhimisha makala ya 47 ya sherehe za Jamhuri. Itakuwa ni siku ya kipekee ikizingatiwa kuwa hii ni adhimisho la kwanza chini ya katiba mpya. Mbali ya ile feeling ya sherehe, lazima tujiulize tunajivunia nini miaka hii yote. Rais Mwai Kibaki na Waziri mKuu Raila Odinga wataongonza sherehe hizo katika uwanja wa Nyayo. Linalonikera ni kwamba wakati tukiadhimisha Jamhuri day ni kuwa shughuli ya utekelezaji wa katiba kufikia sasa imekwama kutokana na mzozo wa maeneo bunge. Sio haki kwa wanasiasa kusimamisha shughuli ya utekelezaji wa katiba kwa sababu ya matakwa yao ya kibinafsi, wanapaswa kutekeleza majukumu tuliyowapa. Naomba kwamba katiba hotuba zao, viongonzi hao wawili watawashurutisha wabunge kuzika tofauti zao na kuitekeleza katiba. Jamhuri dei njema.
Thursday, December 9, 2010
Human Rights Day.....
Wakati Kenya inajiunga na ulimwengu katika kuadhimisha siku ya haki za binadamu hapo kesho, ni dhahiri kuwa Kenya tumepiga hatua katika kupigania haki za binadamu. kupitishwa kwa katiba mpya ni dhihirisho tosha kuwa wakenya wako tayari kutetea haki zao kwani vipengee vingi katika katiba hiyo vinazingatia haki za binadamu. hakuna njia nyingine ambayo Kenya tungepata haki zetu bila sheria thabiti za kuzingatia haki za binadamu nchini isipokuwa kwa kupitishwa kwa katiba hiyo. hata hivyo tatizo kubwa ambalo taifa hili linafaa kujiondoa kabisa ni kubaguana kikabila ili kuhakikisha kuwa kila mkenya amepata haki sawa katika kila nyanja huku tukinyoshea kidole cha lawama viongozi serikalini kwa kuendeleza uovu huo. Wakenya tusimame tupigane na ubaguzi.
Kwa nini Kenya hatuwezi kuzalisha ARV
Taarifa za hivi punde kuwa huenda mataifa ya Bara ulaya yakaingia katika mikataba na India katika kuzalisha dawa za kupungunza makali ya HIV ni kero kubwa na habari za kusikitisha kwa bara Afrika na Kenya kwa jumla. Ina maana kwamba huenda mataifa yanayotegemea dawa hizi kutoka nje, zikalazimika kuongenza gharama yake. Kwetu hapa Kenya, waathiriwa wa ugonjwa wa ukimwi wamekuwa wakipokea tembe hizo kwa bei ya chini lakini hali hii huenda ikabadilika kufuatia uamuzi wa hapo kesho. India ni moja wapo ya mataifa ambayo yanazalisha kiwango cha juu cha dawa hizo na endapo itatia sahini mikataba na mataifa ya bara ulaya ina maana kwamba uwezekano wa kupatikana kwa dawa hizo huenda ukaathirika. Monique Tondo ni afisa wa afya kutoka shirika la madakatari wasiokuwa na mipaka ya watu wanaoishi na virusi vya HIV yanayotegemea kuwepo kwa ARV na anasema kuwa huenda mkataba huo ukazidisha gharama ya ARV. Hii ni changamoto kwa mataifa ya bara Afrika kutafakari mbinu za kuzalisha dawa hizi ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vya HIV. Hakika mnyongee hana haki, lakini tusizoee kukubali hali hii ya unyonge...sisi pia tuna uwezo. Ebo! jioni poa
why you should not smoke
Tobacco is an industry, producing six trillion cigarettes a year – about 1,000 cigarettes for each person on earth. And this is what you’ll find in cigarettes:
~ Formaldehyde, which embalmer use to preserve dead bodies;
~ Toluene, which is commonly used as an ingredient in paint thinner;
~ Acetone, an active ingredient in nail polish remover;
~ Ammonia, which scientists have discovered lets you absorb more nicotine, keeping you hooked on smoking.
If you smoke, you and those around you also inhaling arsenic, benzene, cadmium, hydrogen cyanide, lead, mercury and phonol. In all, 4000 harmful chemicals, including 44 types of poison, of which 43 are proven cancer-causing substances. That should be reason enough why a person should stop smoking immediately.
Bad business
Life insurance companies charge smokers nearly double the amount they charge non-smokers for term assurance. Some tobacco companies also own shares in life assurance companies. What appears to be a good deal for tobacco companies is a bad deal for taxpayers: the health care costs caused directly by smoking, and the lost economic productivity, cost governments up to three times as much as the total earnings of the tobacco industry.
Death
Smokers are ten times more likely to suffer from lung cancer than non-smokers, three times more likely to have a stroke, and twice more likely to suffer a heart attack. Carbon monoxide in cigarettes deprives the heart of oxygen. Smoking can cause headaches, infertility, blood vessel disease, digestive problems, mouth and throat cancer, and blindness.
Tobacco causes more deaths than those caused by all the wars of the past 100 years, including World Wars One and Two. More than three million people die each year as a result of smoking.
Nicotine is a drug. It is more addictive than cocaine, heroine or mandrax. Nicotine is a natural insecticide. Plants such as tomatoes produce it in their leaves to discourage bugs from eating them.
Stop smoking
After 8 hours, the carbon monoxide in your blood drops to normal.
After 48 hours, nerve endings start regrowing and the ability to smell and taste is enhanced.
After a year, the risk of heart disease drops halfway back to that of a non-smoker.
After 15 years, the risk of coronary heart disease is that of a non-smoker.
(Kwa hisani ya didyouknow.org)
~ Formaldehyde, which embalmer use to preserve dead bodies;
~ Toluene, which is commonly used as an ingredient in paint thinner;
~ Acetone, an active ingredient in nail polish remover;
~ Ammonia, which scientists have discovered lets you absorb more nicotine, keeping you hooked on smoking.
If you smoke, you and those around you also inhaling arsenic, benzene, cadmium, hydrogen cyanide, lead, mercury and phonol. In all, 4000 harmful chemicals, including 44 types of poison, of which 43 are proven cancer-causing substances. That should be reason enough why a person should stop smoking immediately.
Bad business
Life insurance companies charge smokers nearly double the amount they charge non-smokers for term assurance. Some tobacco companies also own shares in life assurance companies. What appears to be a good deal for tobacco companies is a bad deal for taxpayers: the health care costs caused directly by smoking, and the lost economic productivity, cost governments up to three times as much as the total earnings of the tobacco industry.
Death
Smokers are ten times more likely to suffer from lung cancer than non-smokers, three times more likely to have a stroke, and twice more likely to suffer a heart attack. Carbon monoxide in cigarettes deprives the heart of oxygen. Smoking can cause headaches, infertility, blood vessel disease, digestive problems, mouth and throat cancer, and blindness.
Tobacco causes more deaths than those caused by all the wars of the past 100 years, including World Wars One and Two. More than three million people die each year as a result of smoking.
Nicotine is a drug. It is more addictive than cocaine, heroine or mandrax. Nicotine is a natural insecticide. Plants such as tomatoes produce it in their leaves to discourage bugs from eating them.
Stop smoking
After 8 hours, the carbon monoxide in your blood drops to normal.
After 48 hours, nerve endings start regrowing and the ability to smell and taste is enhanced.
After a year, the risk of heart disease drops halfway back to that of a non-smoker.
After 15 years, the risk of coronary heart disease is that of a non-smoker.
(Kwa hisani ya didyouknow.org)
Mtandao wa WikiLeaks...na yaliyomo
Kufichuliwa kwa yaliyomo katika Mtandao wa Wikileaks hakutaathiri uhusiano wa Marekani na Kenya. Haya yamesemwa na Mbunge Gitobu Imanyara. Imanyara anasema kuwa hatua hii ni muhimu kwa kenya kwani viongonzi wafisadi wamefichuliwa. Aidha, kwa imanyara wakenya watajua ni viongonzi gani ambao watachagua katika uchaguzi wa 2012. hata hivyi mataifa mengine sijui yatachukulia vipi taarifa hizi:
What some US diplomats had to say about their “friends”:
French President Sarkozy is “thin-skinned,” have an “authoritarian personal style” and is “an emperor with no clothes”
Italian Prime Minister Silvio Berlusconi is “feckless, vain and ineffective as a modern European leader”
Andrew Windsor, a British prince, is “cocky” and “bordering on rude”
British Prime Minister Gordon Brown was described as “weak” and “unstable”
German Chancellor Angela Merkel is “risk-averse and rarely creative”
Iranian President Mahmoud Ahmadinejad is “like Hitler”
North Korea’s dictator Kim Jong-il is a “flabby old man”
Afghanistan President Hamid Karzai is “driven by paranoia”
Russian President Dmitry Medvedev is a “pale and apprehensive man” and is “Robin” to Vladimir Putin’s “Batman”
Hillary Clinton views Russian Prime Minister Vladimir Putin as a “behind-the-scenes puppeteer”
(Kwa hisani ya mtandano wa WikiLeaks)
......Kuwa na siku poa mdau :-(
What some US diplomats had to say about their “friends”:
French President Sarkozy is “thin-skinned,” have an “authoritarian personal style” and is “an emperor with no clothes”
Italian Prime Minister Silvio Berlusconi is “feckless, vain and ineffective as a modern European leader”
Andrew Windsor, a British prince, is “cocky” and “bordering on rude”
British Prime Minister Gordon Brown was described as “weak” and “unstable”
German Chancellor Angela Merkel is “risk-averse and rarely creative”
Iranian President Mahmoud Ahmadinejad is “like Hitler”
North Korea’s dictator Kim Jong-il is a “flabby old man”
Afghanistan President Hamid Karzai is “driven by paranoia”
Russian President Dmitry Medvedev is a “pale and apprehensive man” and is “Robin” to Vladimir Putin’s “Batman”
Hillary Clinton views Russian Prime Minister Vladimir Putin as a “behind-the-scenes puppeteer”
(Kwa hisani ya mtandano wa WikiLeaks)
......Kuwa na siku poa mdau :-(
Wednesday, December 8, 2010
......wakati kuna uhaba wa kondomu...
Ni hivi juzi tukiadhimisha siku ya ukimwi ulimwenguni na hapa nchini wito wa kuimarisha vita dhidi ya HIV ulitolewa na wadau mbalimbali. lakini la kusikitisha kuwa ni kwamba huenda tukakosa kukabiliana na maradhi haya, huku ikihofiwa kuwa viwango vya maambukizi hayo viko juu zaidi hapa nchini. Hata hivyo kama alivyosema papa benedict wa 16 kwamba wakati mwengine ngono haizuhiki, inahitaji kutumia kinga kujizuia na maradhi ya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa. Inasemekana kwamba maeneo mengi hapa nchini yanakabiliwa na uhaba wa mipira ya kondomu licha ya serikali kuagiza mipira bilioni 41 miezi miwili iliyopita. Hivi inamaanisha takribani watu bilioni 41 walishiriki ngono miezi hiyo miwili?? ni wazo tu. kwa kawaida Desemba ina bashasha mingi sana..kwanza masuala ya tohara ambayo yanashirikisha watu wa tabaka mbalimbali wanaokutana bila kufahamiana..hapa kuna uwezekano wa mahusiano ya mapenzi kimwili, krismasi vile vile hii hapa inanukia, lakini la kusikitisha ni kwamba huenda tukalazimika kusubiri kwa muda kabla ya mipira ya CD kufika nchini. huku niliko kuna uhaba.. I say imekuwa vigumu kupata mipira hii, kwa chemist, shop na maeneo mengine hapa niliko..kiu nayo haina huruma. inabidi tuzuie. wakati huu tafadhali tujizuie na ngono ya kiholelea hadi kinga itakapoletwa kwetu.
Tuesday, December 7, 2010
Tuheshimu zeruzeru....mbunge wa kwanza mwenye hali hii Tanzania asema
Tumesikia taarifa kutokea nchi jirani ya Tanzania kwamba ndugu zetu zeruzeru wananyimwa uhai kwa dhana potovu kwamba sehemu fulani ya miili yao inaweza kuleta utajiri. Kenya pia hatujasazwa, kwani wakati mmoja jamaa mmoja alikamatwa baada ya jaribio la kumuuza zeruzeru katika nchi ya tanzania. lakini ni wakati sasa tusimame kutetea haki za hawa ndugu zetu. hili nimekumbuka baada ya kupitia gazeti moja la kitaifa hapa nchini (Daily Nation) ambao walifanya mahojiano na mbunge Salum Khalfani Bar’wani, wa eneo bunge la Lindi Town huko Tanzania. Ni mbunge wa kwanza mwenye ulemavu wa ngonzi nchini humo. utasoma zaidi hapa: http://www.nation.co.ke/News/E%20Africas%20first%20MP%20with%20albinism%20dispels%20myths%20/-/1056/1068168/-/pdsnofz/-/index.html
Eti Kalonzo atapenya katikati yao!
Makamu wa rais Kalonzo Musyoka, anaendelea kushtumiwa, kuhusiana na matamshi aliyotoa mwishoni mwa juma, kwamba viongozi walioitisha maandamano ya umma kulalamikia matokeo ya uchaguzi uliozua utata hapa nchini,ndio wanafaa kushtakiwa. waziri wa ustawi wa mikoa Fred Gumo, sasa anadai Kalonzo ni mjanja na kwamba ana mpango wa kunufaika kisiasa kutokana na suala la mahakama ya ICC ambalo limesababisha tofauti za kisiasa kati ya baadhi ya viongozi. Gumo anadai kuwa kalonzo ana njama ya kupita katikati ya viongonzi wawili ambao anatarajia kubuni muungano na wao.
Ni juzi ambapo kalonzo alinukuliwa akimshtumu Waziri mkuu raila odinga na kutanganza kumuunga mkono mbunge William Ruto. Aidha alisema kuwa wataendelea kushirikiana na naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta kubuni muungano utakao wawezesha kukabiliana na mahasimu wao kisiasa. Hata hivyo inaonekana kana kwamba ujanja wa kalonzo umeonekana wazi baada ya wanasiasa kadhaa kusema kuwa anatumia fursa ya tetesi inayozingira viongonzi hao wawili kwamba huenda wakaenda hague mwakani kujinufaisha katika kujitafutia uungwaji mkono katika maeneo anayowakilisha. Gumo hata hivyo alishangaa kwamba viongozi waliopinga mpango wa kubuniwa kwa mahakama maalum ya hapa nchini kuwashughulikia washukiwa wa ghasia, sasa ndio katika msitari wa mbele kupinga uchunguzi wa mahakama ya ICC.
Saturday, December 4, 2010
Balozi Ranneberger apewa onyo...vijana wamtaka atanganze nia yake ya kisiasa
Kundi la National Emerging youth for change linamtaka balozi wa marekani nchini Kenya, Michael Ranneberger kukoma kushiriki siasa za kisiri na badala yake kutangaza msimamo wake na nia yake ya kisiasa. Kundi hilo limemtaka balozi huyo kukoma kutoa ufadhili wa kifedha kwa baadhi ya makundi na jamii fulani. Mwenyekiti wa kundi hilo Daniel Mwangi amesema kuwa iwapo Ranneberger hatofanya hivyo kwa muda wa saa 48 basi kundi lake litaongoza maandamano ya vijana wote katika taifa hili kupinga balozi huyo. Ni hivi juzi msemaji wa serikali Alfred Mutua alisema kuwa kuna serikali za kigeni ambazo zinafadhili vijana kwa njama ya kunyakua uongozi wa taifa hili huku waziri mkuu Raila Odinga pia akikashifu hatua ya mabalozi kufanya ziara za kisiasa. Madai ya Mutua yalipuziliwa mbali na Marekani, ambao walisisitiza wanafadhili makundi ya kuratibu maendeleo na wala sio ya kuzua vurugu au kuipindua serikali ya muungano.
lessons for meeting MORE women,..mEN
I hear women ask “How come I never meet a nice, normal guy? Why do I only get approached by creeps?” You’ve probably heard women say this yourself. So how would you respond to them? Thanks to one dating coach http://yahoo.match.com/y/article.aspx?articleid=9137&TrackingID=526103&BannerID=709885. Get your lessons, men, and understand more of our weakness....
Thursday, December 2, 2010
Kesi yanukia HAGUE...siasa kando, asema Occampo
Washukiwa sita waliopanga ghasia za baada ya uchaguzi watafika mbele ya mahakama ya kimataifa ICC mapema kwaka ujao. Kiongozi mkuu wa mashtaka katika mahakama hiyo Louis Moreno Ocampo amethibitisha kwamba atawaomba majaji wa mahakama hiyo kutoa arifa za sita hao kufika mahakamani kabla ya tarehe 17 mwezi huu. Ocampo aliliambia kongamano la siku mbili la kujadili mabadiliko hapa nchini kwamba washukiwa hao huenda wasishtakiwe hadi mwaka 2012 ama mapema mwaka 2013 kutokana na utaratibu mrefu wa mahakama. Occampo ameongeza kwamba mahakama hiyo imepata ushahidi mpya kuhusu ghasia hizo na haitategemea ripoti za mashirika ya haki na ile ya Waki. Ocampo pia amewakana mashahidi ambao walikuwa wamedai kwamba walifundishwa jinsi ya kuwashirikisha baadhi ya wanasiasa katika ghasia hizo.
Kenya SOKA hatuwezi...afadhali mbio :
Vijana wa hapa nyumbani Harambee stars wamezima matumaini ya kunyakua taji la kombe la CECAFA baada ya kulambishwa mabao 2 kwa 1 na Ethiopia. Hii sio mara kwanza vijana wa kocha Jacob "Ghost" Mulee kuiwekea kenya aibu, lakini kama navyotafakarin tutaipa sifa sana kikosi hicho kwa mchezo wao wa kuridhisha hasa dakika za lala salama. Its time tutizame sasa mechi ya Uganda ili tutokee kama the BEST LOOSERS, Changamoto kubwa hata hivyo ni kwa wasimamizi wa soka..do something esp. kwa hino timu yetu...Mulee na timu yako ya kiufundi, jambo lifanywe bana..i need the old football mood back :-( ni wazo tu mdau usininukuu vibaya!!!
Wednesday, December 1, 2010
ama Kweli eLImu maanake nini....?
Leo napenda tulitupie macho suala zima la elimu ambalo naamini ni sehemu kubwa ya maisha. Hii inatokana na ukweli kwamba kama hatutakuwa katika utafutaji wa elimu hii kama wanafunzi, basi tuko katika matumizi yake baada ya kuwa tumeichuma katika nyakati mbalimbali na viwango mbalimbali. Hata hivyo ukweli unabaki kuwa elimu haina mwisho. Wadau, nimetafakari kiundani kuhusu nini hasa maana ya elimu, baada ya kusoma ni wengi ambao wanaanza kuwaza na kuwazua na kuwazua jinsi watakavyoweza kujinufaisha na kisomo chao, lakini kuna wengine ambao wanageuza elimu kuwa chanzo cha kuchakachua na kuharibu msingi za maisha bora ya kijamii.Ni watu wa aina hii ndio ningependa waelewe kwamba: Elimu ni muhimu katika kusaidia kupambana na mazingira yetu, ili hatimaye, tuweze kuwa na mahali pazuri zaidi pa kuishi. Elimu inapaswa kutusaidia kuona uhalisia wa maisha ya kawaida, kwa kujenga maadili na utu wema....ni wazo tu wadau..siku poa!
kudumisha tunu msingi za maisha ya kifamilia
Baada ya kiamsha kinywa, wadau ni kwamba lazima tushike kamba tupande, tukabili changamoto za maisha. Sijajaliwa kupata familia, lakini experience ambayo nimepata kupitia utanganzaji na kudusuru vitabu na tovuti mbalimbali, nimekwisha kupata ufahamu kuwa familia ni kitovu cha amani na upendo. Na understand kwamba wengi wetu barani afrika tunazingatia saaana swala la udini katika familia zetu, lakini issue ni kwamba tunasahu kutumia the latter kuhubiri amani. kuelewa vizuri, nilitaka kupata usaidizi kutoka kwa Askofu mkuu Josè De Queioros Alves wa Jimbo kuu la Huambo, kutoka Angola....tovuti ya radiovatican ni muhimu kwa mufindisho ya leo. bonyeza http://www.radiovaticana.org/en3/Articolo.asp?c=436241 upate ufahamu hata zaidi. siku kuu mdau :-(
Tuesday, November 30, 2010
.........WORLD AIDS DAY
Wadau hii ni siku muhimu kwani mataifa yanalenga kutoa uhamasisho kuhusu athari za ugonjwa wa ukimwi ambao umeathiri familia nyingi hususan katika bara Afrika, ambako watu elfu sita hufariki kila siku kutokana na virusi vya HIV ukimwi. Hapa kenya, tunaadhimisha miaka 26 tangu kisa cha kwanza cha AIDS kuripotiwa nchini miaka ya themanini. Na katika uchungunzi wangu, niliona makala haya kutoka shirika la BBC yatafaa zaidi kwako mdau..kuelewa vyema kuhusu ugonjwa wa ukimwi na jinsi ya kujikinga. http://www.bbc.co.uk/swahili/kwa_kina/kimasomaso/2010/04/100427_kimasomaso_ukimwi_africa.shtml Nakutakia siku kubwa wakati tukiadhimisha siku ya ukimwi ulimwenguni. Tukapime tujue hali zetu kiafya na kujipanga. PAMOJA TUANGAMIZE UKIMWI.
Subscribe to:
Posts (Atom)